Munna coloured cookies

Mahitaji Unga wa ngano 1kg Siagi 1/2 Sukari 1/2 Vanilla kiasi Baking powder Namna ya kutengeneza Chukua samli na unga changanya kisha weka baking poda. Changanya vizuri kisha weka maji kidogo kidogo kupata donge gumu. Gawanya donge lako katika sehemu Tatu. Moja utaliacha lilivyo na mengine utaweka ranging unayopendelea kila moja. Mimi nilipenda kijani na nyekundu. Sukuma na kata katika viduara kidogo kisha oka kwa moto wa wastani hakikisha haviuungui.