Doughnuts

Mahitaji Siagi 1/2 kg Sukari (iliyosagwa) 1/2 kg Mayai 6 Unga 1kg Baking powder 2 teaspoons Kungu manga 1 Namna ya kupika Changanya unga pamoja na kungu manga na baking powder na siagi , Tia yai moja moja hadi uwe donge Kata vidonge vidonge na usukume kama chapatti, kisha kata duara na chukua kifuniko kata katikati ya mduara. Chemsha m...