Vyakula 7 vitakavyokukinga dhidi ya athari za mwanga wa jua

Kwa kawaida tumekuwa tukitumia cream na vipodozi kadhaa kukinga ngozi zetu dhidi ya athari zitokanazo na mwanga wa jua. Lakini je unafahamu kuwa kuna baadhi ya vyakula vinaweza kabisa kupambana na athari hizo bila msaada wa vipodozi. Kutokana na kutambua vizuri vyakula hivyo, nimeona si nikuletee ili upate kuelewa na ikibidi kutumia. Vyakula hivyo ni:
Samaki wa maji baridi
Matunda yenye rangi nyekundu na mboga za majani
Mboga mboga za majani zenye rangi ya kijani iliyokolea
Mafuta ya Lozi 'Olive Oil'
Matunda yenye Vitamin C kwa wingi
Chai ya kijani
Choklet

Comments

Popular posts from this blog

Upishi wa tembele la chukuchuku

Tambi za nyanya

Tambi za dengu