Salad ya kitunguu maji
Mahitaji
Vitunguu
maji kiasi unachohitaji
Chumvi
Vinegar/
Limao/Ndimu
Namna
ya kutengeneza
Chukua
vitunguu na vikate vyembambavyemba, na kisha weka maji na kisha chumvi kidogo
kwenye bakuli. Baada ya hapo visugue kidogo ili kuondoa ukali. Baada ya hapo
kamulia ndimu. Ikiwa una vinegar unaweza kutumia badala ya ndimu ama limao.
Ili
kuongeza nakshi pia si vibaya ukakatia nyanya, tango, pilipili na hata majani
ya kotmir.
Salad
yako ipo tayari kwa kuliwa.
Comments
Post a Comment