Upishi wa tembele la chukuchuku
Mahitaji
Matembele mafungu 2
Nyanya 2 kubwa
Kitunguu 1
Chumvi kiasi
Mafuta kijiko 1
Ndimu 1
Namna ya kutengeneza
Chukua matembele , yachambue na kisha yaoshe. Weka kwenye sufuria ya kupikia. Kata kata nyanya, kitunguu na weka juu yake. Kisha weka chumvi na mafuta na injika jikoni. Weka moto wa kiasi na acha viive kwa muda wa dakika tano.
Funua na geuza, vitu vyote vitakuwa vimeiva. Kamulia ndimu na kisha ipua. Matembele yako yatakuwa tayari kwa kuliwa. Waweza kula na ugali ama chakula kingine utakachopendelea.
Waaao napenda sana hiki chakula. Nilikuwa sijui kupika haya matembele, kesho nitajaribu. Asante kwa darasa @Maimuna
ReplyDeleteSo yammy
ReplyDeleteMr. Green Casino – Play Slots, Live Dealer, Bingo - DrmCD
ReplyDeleteThe 구리 출장안마 UKGC have just revealed its 김제 출장마사지 2021 platform, which will 여주 출장마사지 officially open 진주 출장안마 online 춘천 출장안마 casinos by the end of the year, to include an extension to the existing