Afya yako ndio kipaombele chetu

 Fanya mbogamboga na matunda kuwa sehemu ya maisha yako

Tumerudi tena. Baada ya kutokuwepo hewani kwa muda , sasa tutakuwa tukikuletea mapishi mbalimbali kama ilivyokuwa awali.

Tofauti na kipindi kile, tutakuwa pia tukikuletea dondoo mbalimbali za ulaji mzuri unaozingatia uboreshaji wa afya yako, pamoja na matukio mbalimbali yanayohusiana na mapishi pamoja na chakula kwa ujumla.

Comments

Popular posts from this blog

Upishi wa tembele la chukuchuku

Tambi za nyanya

Tambi za dengu