Munna coloured cookies

Mahitaji
Unga wa ngano 1kg
 Siagi 1/2 Sukari 1/2
Vanilla kiasi
Baking powder

Namna ya kutengeneza

Chukua samli na unga changanya kisha weka baking poda. Changanya vizuri kisha weka maji kidogo kidogo kupata donge gumu. Gawanya donge lako katika sehemu Tatu.
 Moja utaliacha lilivyo na mengine utaweka ranging unayopendelea kila moja. Mimi nilipenda kijani na nyekundu. Sukuma na kata katika viduara kidogo kisha oka kwa moto wa wastani hakikisha haviuungui.

Comments

Popular posts from this blog

Upishi wa tembele la chukuchuku

Tambi za nyanya

Tambi za dengu