Nyama ya kukunja









Mahitaji
Nyama                        ½ kg
Mayai              5 (manne yachemshe)
Ndimu             2
Chumvi           kiasi
kitunguu saumu            punje tatu
Pilipili              kiasi (menya kata)

Namna ya kupika
Changanya nyama na tangawizi na thomu na pilipili
Weka karatasi juu ya kibao, tandaza nyama na panga mayai juu yake
Kunja karatasi na wacha nafasi pembeni na funga uzi
Injika chuma tia samli na kaanga halafu yake geuza kila upande kwa upesi
Ipua na weka ipowe na kula, kata kwa kiasi

Comments

Popular posts from this blog

Upishi wa tembele la chukuchuku

Tambi za nyanya

Tambi za dengu