Doughnuts





Mahitaji
Siagi                            1/2 kg
Sukari  (iliyosagwa)   1/2 kg
Mayai                          6
Unga                           1kg
Baking powder           2 teaspoons
Kungu manga              1
Namna ya kupika
Changanya unga pamoja na kungu manga na baking powder na siagi , Tia yai moja moja hadi uwe donge
Kata vidonge vidonge na usukume kama chapatti, kisha kata duara na chukua kifuniko kata katikati ya mduara.
Chemsha mafuta jikoni na kisha uchome kiasi kiasi hadi ziishe zote.
Vikipata rangi ya udhurungi ipua na nyunyizia sukari, tayari kwa kuliwa  

Comments

Popular posts from this blog

Upishi wa tembele la chukuchuku

Tambi za nyanya

Tambi za dengu