Crispy za mbatata


Mahitaji
Viazi mbatata kiasi.
Chumvi kiasi.
Mafuta ya kupikia ya maji.
Mashine ya kuparuzia karoti (grating machine)

Namna ya kupika
Menya viazi vyako , kisha vioshe vizuri.Hakikisha hauuachi na majimaji
Unahitaji kuwa na kile kimashine kidogo cha kuparuzia nyanya au karoti(grating machine) au kama huna waweza kutumia kisu kukatakata katika maduara membamba
Vianike kidogo viwe vikavu.
weka mafuta, wacha yapate moto. Vimimine ndani ya mafuta, uvikaange
Geuzagauza visishikane.
Wacha mpaka viwe rangi ya hudhurungi
Ipua nyunyuzia chumvi , wacha vipoe.
Tayari kwa kuliwa

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Upishi wa tembele la chukuchuku

Tambi za nyanya

Tambi za dengu