Juisi ya karoti


Mahitaji
Karoti 3 kubwa
Maziwa gilasi 2.5
Sukari kiasi
Maji 1gilasi yaliyochemshwa na kupozwa
Arki kiasi

Namna ya kutengeneza
Kata caroti kama una mashine ya kusagia unaweza kuiweka kwenye mashine na kuisaga kisha weka maji, toa na ukamue maji
Tia maziwa, arki juu yake koroga pamoja na sukari
Onja na tayari kwa kunywewa

Comments

Popular posts from this blog

Upishi wa tembele la chukuchuku

Tambi za nyanya

Tambi za dengu