Pudding ya mchele





Mahitaji
Mchele) 1/2kg(uliotwangwa)
Maziwa 1 pint
Sukari 1 kijiko
Yai 1
Arki kiasi

Njia
Pasha moto maziwa katika sufuria na utie mchele uliotwangwa .
Koroga mpaka uchemke
Pika mpaka chenga zilainike
Ondoa sufuria kwenye moto tia sukari wacha ipoe kidogo.
Vunja yai liwe kiini mbali na ute mbali.
Tia kiini katika mchele uliochanganywa na maziwa.
Tia sukari uchanganye vizuri
Piga ute utie pudding
Paka sufuria samli, mimina mchagayiko choma katika oven 1/2 saa

Comments

Popular posts from this blog

Upishi wa tembele la chukuchuku

Tambi za nyanya

Tambi za dengu