Sandwitch ya mchele


Mahitaji
Unga wa mchele 1/4kg
Unga wa ngano 1/4kg
Sukari 1/4kg
Siagi 1/4kg
Mayai 4


Maziwa 4 vijiko vikubwa.
B.P 1 kijiko cha chai

Namna ya kutengeneza
Saga sukari na siagi.
Tia mayai yaliyopigwa vizuri halafu tia maziwa.
Nyunyiza unga wa ngano uliochungwa na mchele.
Tia B.P katika vibati viwili vya sponge cake vilivyopakwa siagi
Choma ukipenda paka jam baina ya katikati mbili.

Comments

Popular posts from this blog

Upishi wa tembele la chukuchuku

Tambi za nyanya

Tambi za dengu